shule ya Udereva Brilliant tunapenda kuwajulisha Wanafunzi wetu wa Kozi za HGV,PSV na wale wa Udereva wa Awali kuwa Matokeo ya mitihani yao yametoka
Hivyo wafike ofisini kuangalia Matokeo yao ama Wapige simu yetu ya Ofisi ili kujulishwa Hali ya Majibu yao ya Mtihani.
asante.
Namba zetu za ofisi ni 0762 003 011.