- Mtihani wao wa vitendo ulisimamiwa na Af. Vehicle Mathias Mhando wa ofisi za Trafiki Mkoa wa Arusha . Ambapo zaidi ya Madereva 130 walitahiniwa.
- Ili kujiunga na Kozi yetu uhahitajika kutimiza mahitaji yafuatayo:
- Leseni yenye Daraja D lenye uzoefu wa miaka mitatu(3) au Leseni yenye Daraja C ama E.
- Picha ya Passport moja.
- Kulipa wala Laki moja kwajili ya kuanza Mafunzo.