ANNOUNCEMENTS
Admission Priority: High
From: Dec 24, 2025 9:39 AM Until: Jan 11, 2026 9:39 AM

MATOKEO NA VYETI INTAKE/AWAMU YA NNE(4) KOZI YA MALORI NA ABIRIA YAMETOKA !!.

Chuo cha udereva brilliant tunapenda kuwaarifu madereva waliosoma kozi ya Malori (HGV) na Abiria(PSV) awamu ya nne(4) na wale waliorudia Mitihani yao , kuwa Matokeo yao yamekwisha , Na kwa wale waliofuzu wapo baadhi ambao tayari wameshapata vyeti vyao na wale ambao bado tafadhali wafike Chuoni Tarehe 07/01/2025 ili kuchukua vyeti vyao. Chuo kinapenda kuwataarifu pia wale ambao wahakufuzu/kufaulu wafike intake/awamu zinazofuata ili kurudia mitihani yao kwa upande ambao wahakufaulu.
Chat with us