2025/26 Academic Year: New Registration & Start DatesClick to View|2025/26 Academic Year: New Registration & Start DatesClick to View|2025/26 Academic Year: New Registration & Start DatesClick to View|2025/26 Academic Year: New Registration & Start DatesClick to View|2025/26 Academic Year: New Registration & Start DatesClick to View|2025/26 Academic Year: New Registration & Start DatesClick to View|
Announcement
TANGAZO LA KUAHIRISHWA KWA INTAKE/AWAMU YA 9 ILIKUWA IFANYIKE TAREHE 4/4 & 5/4/2026. - BRILLIANT
Admission
Priority: High
From: Mar 30, 2026 6:27 AM
Until: Apr 20, 2026 6:27 AM
TANGAZO LA KUAHIRISHWA KWA INTAKE/AWAMU YA 9 ILIKUWA IFANYIKE TAREHE 4/4 & 5/4/2026.
Tangazo! Chuo cha Mafunzo ya Udereva Brilliant tunapenda kujulisha Wanafunzi wetu wa Awamu ya Tisa(9) na wale wa marudio ya mitihani ambayo ilikuwa ifanyike Tarehe 4 na 5 mwezi 4 kuwa kuna mabadiliko katika ratiba yetu kutokana na kuwepo kwa Sikukuu za Pasaka katika tarehe hizi mbili , Hivyo mtihani imesogezwa mbele hadi wiki inayofuata yaani Tarehe 11/4 na 12/4/2026 mtawalia kama inavyoonekana katika ratiba kwa sasa, ukipata ujumbe huu mjulishe na mwenzako. Asante.