Tunapenda kuwajulisha kuwa Matokeo ya Mtihani wa Marudio kwa Wanafunzi kozi ya HGV(Malori) na PSV(Abiria)
Tarehe15/11/2025 yametoka, Hivyo wahusika wafike ama wapige simu Ofisini ili kupata majibu ya matokeo yao.
Muhimu: Na kwa wale waliofuzu Mtihani huu na wana matokeo ya Vitendo Vyeti vyao vipo tayari. Mawasiliano zaidi:
0762 003 011 / 0785 0030 011