ANNOUNCEMENTS
Admission Priority: High

TANGAZO LA MTIHANI YA UTAHINI WA MADEREVA WA KOZI YA MALORI (HGV) NA ABIRIA(PSV) AWAMU YA KUMI NA MOJA(11) NI TAREHE 16 NA 17/05/2026.

Shule ya Mafunzo ya Udereva Brilliant - Arusha inapenda kuwaarifu madereva wa Kozi ya Malori(HGV) na Abiria(PSV) kuwa kutakuwa na mtihani wa utahini wa Madereva kwa muujibu wa sheria za Barabarani, Utakaosimamiwa na Jeshi la Polisi Arusha kitengo cha Usalama barabarani Tarehe 16 na 17/05/2026 siku ya Jumamosi na Jumapili shuleni Brilliant Arusha - maeneo ya Metropole karibu na shule ya Msingi uhuru. kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana nasi kupitia Namba za simu : 0762 003 011.
Chat with us