Ni baada ya kumaliza mafunzo yao kozi ya HGV na PSV darasani ambayo yalifanyika kuanzia tarehe 27 Octoba 2025 hadi Tarehe 21 Novemba 2025, Na kufanya mtihani wa Nadharia Tarehe 22 Novemba 2025.
Mtihani wao wa vitendo ulisimamiwa na Af. Vehicle Mathias Mhando wa ofisi za Trafiki Mkoa wa Arusha . Ambapo zaidi ya Madereva 130 walitahiniwa.