somo hili lilifundishwa na mwalimu Josephat Kimaro , Mkufunzi mbobezi katika vifaa vya ndani vya magari.
Baadhi ya Umuhimu wa somo la Ukaguzi wa Gari ni kama ifuatavyo:
- husaidia kupunguza ajali zinazoweza kuepukika.
- Humsaidia Dereva kulifahamu vyema Gari lake.
- Husaidia kulitunza gari.