Mafunzo haya yaliongozwa na Walimu wao ambao pia ni wabobezi katika mambo ya Utalii na katika safari yao walijifunza mambo mbali mbali ikiwemo:
- Aina mbali mbali ya Mimea
- Wanyama wa Aina mbali mbali.
- Na Ndege wa Aina tofauti tofauti wanapatikana eneo hili.