ANNOUNCEMENTS

TANGAZO LA KUWEPO KWA FIELD STUDIES KWA WANAFUNZI WA KOZI YA UTALII KATIKA ENEO HIFADHI LA TARANGIRE NA LAKE MANYARA TAREHE 27 NA 28 /02/2026.

Published: Jan 03, 2026 • Views: 83

 TANGAZO LA  KUWEPO  KWA FIELD STUDIES KWA WANAFUNZI WA KOZI YA UTALII KATIKA ENEO HIFADHI LA TARANGIRE NA LAKE MANYARA TAREHE 27 NA 28 /02/2026.

Chuo cha Utalii Brilliant Tunapenda kuwaarifu , wazazi na Walezi na Washikadau wetu kuwa Wanafunzi wetu wa kozi ya Utalii (Tour Guiding & Tour Operations) watakuwa na safari ya kujisomea kwa vitendo/fields study Tarehe 27/02/2026 katika eneo la mbuga za wanyama la Tarangire na Tarehe 28 /02/2026 katika eneo la hifadhi ya wanyama la Ngorongoro , Hivyo tunakuomba kama mzazi /mlezi/ndg/rafiki kumshika mkono kijana wako kwa hali na mali , ili aweze kushiriki na wenzake na kujifunzi kwa vitendo.

Chat with us