Utahini wa mtihani wa vitendo awamu ya nane(8) katika shule ya udereva Brilliant kwa wanafunzi wa kozi ya HGV(MALORI) na PSV(ABIRIA).
Ukisimamiwa na Af.Vehicle Mathias Mhando ambapo zaidi ya madereva 250 waliweza kushiriki zoezi hili la utahini upande wa vitendo kwa mujibu wa sheria.